UMAKI

Karibu Welcome

Usajili wa UMAKI

Fomu hii ni mahususi kwaajili ya kusajili wanachama wa umoja wa wanawake waliopo  kwenye mitaa au vigango vilivyoko chini ya Kanisa la anglican dayosisis ya dar es salaam.

Kila mwanamke anayesali kwenye mtaa au lkigango chochote cha kanisa la anglikana dayosisis ya Dar es salaam ,  mwenye umri kuanzia miaka 18 anaruhusiwa kujisajili na umoja huu

Jaza Fomu hii

Step 1 of 4

TAARIFA BINAFSI

Ilipo Mitaa yetu

Karibu uabudu nasi