Kanisa la Anglikana dayosisi ya Dar es salaam, ina jumla ya mitaa 94 iliyoko chini ya Archidikonari 9. Dhumuni la kusajiri itaa hii ni ili kuweka kumbukumbu za mitaa, maeneo iliko, pamoja na rasilimali zinazomilikiwa na dayosisi chini ya mitaa hiyo. Taarifa hizi zitawezesha kwenye kufanya maamuzi sahihi ya mgawanyo na utunzaji wa rasirimali, watu na vitu, lakini pia zitasaidia kwenye kupanua wigo wetu wa kueneza injili kwenye maeneo ambayo hayajafikiwa bado.
Fomu hii ni mahususi kwaajili ya kusajili mitaa yote iliyoko chini ya dayosisi ya kanisa la Anglikana, dayosisi ya Dar es salaam, fomu hii ijazwe na Kasisi/ Katibu wa mtaa/ kiongozi wa mtaa aliyeidhinishwa na mtaa kusimamia maswala ya kiutawala ya mtaa husika.
Kupata huduma , taarifa na msaada wa kiroho na kiutendaji kutoka dayosisi tafadhali wasiliana nasi au tutembelee ofisini
Nyumba no. 35
Mtaa wa Arusha/Moshi
Ilala, Dar es salaam
+255 745 960 998
+255 760 960 883
+255 716 959 995
info@anglicandar.org
actdiosm@gmail.com
habari@anglicandar.org
Karibu uabudu nasi