KWAYA

Karibu Welcome

Usajili wa Kwaya na Vikundi vya Uimbaji

Fomu hii ni mahususi kwaajili ya kusajili kwaya au vikundi vya uimbaji vinavyohudumu kwenye mitaa au vigango vilivyoko chini ya Kanisa la anglican dayosisis ya dar es salaam.

Mwenyekiti/katibu auĀ  mwalimu aliyeidhinishwa na mtaa kusimamia maswala ya kwaya ndiye anayehusika kujaza taarifa za kwaya kwenye fomu hii. Kakikisha kwaya/ kikundi cha uimbaji unachosajili kimepata kibali cha balaza la wazee (halmashauri katika kuanzishwa kwake)

Jaza Fomu hii

Wasiliana nasi

Kupata huduma , taarifa na msaada wa kiroho na kiutendaji kutoka dayosisi tafadhali wasiliana nasiĀ  au tutembelee ofisini

Makao makuu

Nyumba no. 35
Mtaa wa Arusha/Moshi
Ilala, Dar es salaam

Tupigie

+255 745 960 998
+255 760 960 883
+255 716 959 995

Tupigie

info@anglicandar.org
actdiosm@gmail.com
habari@anglicandar.org

Ilipo Mitaa yetu

Ungana nasi kila Jumapili kwenye ibada kwa lugha yaĀ  Kiingereza kwenye baadhi ya mitaa yetu naĀ  ibada kwa lugha ya Kiswahili katika mitaa,na vigango vyetu vyote.

Pia tuna ibada za katikati ya juma, pamoja na ibada za jumuiya kila siku ya jumamosi, kwenye mitaa na vigango husika.