Fomu hii ni mahususi kwaajili ya kusajili kwaya au vikundi vya uimbaji vinavyohudumu kwenye mitaa au vigango vilivyoko chini ya Kanisa la anglican dayosisis ya dar es salaam.
Mwenyekiti/katibu auĀ mwalimu aliyeidhinishwa na mtaa kusimamia maswala ya kwaya ndiye anayehusika kujaza taarifa za kwaya kwenye fomuhii. Kakikisha kwaya/ kikundi cha uimbaji unachosajili kimepata kibali cha balaza la wazee (halmashauri katika kuanzishwa kwake)
Kupata huduma , taarifa na msaada wa kiroho na kiutendaji kutoka dayosisi tafadhali wasiliana nasiĀ au tutembelee ofisini
Nyumba no. 35
Mtaa wa Arusha/Moshi
Ilala, Dar es salaam
+255 745 960 998
+255 760 960 883
+255 716 959 995
info@anglicandar.org
actdiosm@gmail.com
habari@anglicandar.org
Karibu uabudu nasi