KIPAIMARA

Karibu Welcome

Usajili wa Wanafunzi wanaopata kipaimara

Fomu hii ni mahususi kwaajili ya kusajili wanafunzi wanaotaka kupata kipaimara,  fomu hii ijazwe na Padre/ shemasi/ mwinjilisti wa mtaa au mwalimu aliyeidhinishwa na mtaa kusimamia maswala ya darasa la kipaimara. Kakikisha , mwanafunzi anayesajiliwa awe amehudhulia mafunzo ya kipaimara na ameandaliwa vyema kupata daraja takatifu

Kuhusu Kipaimara

Kipaimara ni sakramenti ya uthibitisho wa imani ambapo muumini, baada ya ubatizo, anakiri imani yake kwa uhuru, akithibitisha ahadi zake za Kikristo, na kupokea Roho Mtakatifu kwa nguvu ya kipekee. Tukio hili ni hatua muhimu katika maisha ya kiroho ya kila mkristo  wa Kanisa la anglikana, likimsaidia kuimarisha uhusiano wake na Mungu, kushirikiana kikamilifu katika maisha ya Kanisa, na kuwa shahidi wa imani katika familia na jamii.

Wasiliana nasi

Kupata huduma , taarifa na msaada wa kiroho na kiutendaji kutoka dayosisi tafadhali wasiliana nasi  au tutembelee ofisini

Makao makuu

Nyumba no. 35
Mtaa wa Arusha/Moshi
Ilala, Dar es salaam

Tupigie

+255 745 960 998
+255 760 960 883
+255 716 959 995

Tupigie

info@anglicandar.org
actdiosm@gmail.com
habari@anglicandar.org

Ilipo Mitaa yetu

Karibu uabudu nasi