MITAA

Karibu Welcome

Usajili wa Mitaa

Kanisa la Anglikana dayosisi ya Dar es salaam, ina jumla ya mitaa 94 iliyoko chini ya Archidikonari 9. Dhumuni la kusajiri itaa hii ni ili kuweka kumbukumbu za mitaa, maeneo iliko, pamoja na rasilimali zinazomilikiwa na dayosisi chini ya mitaa hiyo. Taarifa hizi zitawezesha kwenye kufanya maamuzi sahihi ya mgawanyo na utunzaji wa rasirimali, watu na vitu, lakini pia zitasaidia kwenye kupanua wigo wetu wa kueneza injili kwenye maeneo ambayo hayajafikiwa bado.

Fomu hii ni mahususi kwaajili ya kusajili mitaa yote iliyoko chini ya dayosisi ya kanisa la Anglikana, dayosisi ya Dar es salaam,  fomu hii ijazwe na Kasisi/ Katibu wa mtaa/ kiongozi  wa mtaa  aliyeidhinishwa na mtaa kusimamia maswala ya kiutawala ya mtaa husika.

 

Jaza fomu hii

Step 1 of 7






Wasiliana nasi

Kupata huduma , taarifa na msaada wa kiroho na kiutendaji kutoka dayosisi tafadhali wasiliana nasi  au tutembelee ofisini

Makao makuu

Nyumba no. 35
Mtaa wa Arusha/Moshi
Ilala, Dar es salaam

Tupigie

+255 745 960 998
+255 760 960 883
+255 716 959 995

Tupigie

info@anglicandar.org
actdiosm@gmail.com
habari@anglicandar.org

Ilipo Mitaa yetu

Karibu uabudu nasi