Fomu hii ni mahususi kwaajili ya kusajili wanachama wa umoja wa wanawake waliopo kwenye mitaa au vigango vilivyoko chini ya Kanisa la anglican dayosisis ya dar es salaam.
Kila mwanamke anayesali kwenye mtaa au lkigango chochote cha kanisa la anglikana dayosisis ya Dar es salaam , mwenye umri kuanzia miaka 18 anaruhusiwa kujisajili na umoja huu
Karibu uabudu nasi